Shule 5 Zafungwa Laikipia Huku Operesheni Ya Usalama Ikiingia Siku Ya 3

  • 3 years ago
Operesheni Ya Usalama Katika Eneo La Ilmoran Kaunti Ya Laikipia Imeingia Siku Yake Ya Tatu Huku Mamia Ya Maeneo Ya Makaazi Yakisalia Mahame Baada Ya Mamia Ya Wenyeji Kukimbilia Usalama Wao. Zaidi Ya Shule Tano Zimefungwa Huku Maafisa Wa Usalama Wakisema Kuwa Wanafanya Juu Chini Kuregesha Hali Ya Usalama.

Recommended