Kipute Cha Useneta Machakos: Kampeni Za Kiti Hicho Zaelekea Ukingoni

  • 3 years ago
Agizo La Rais La Kupiga Marufuku Mikutano Ya Kisiasa Ya Hadhara Linazidi Kupata Uungwaji Mkono, Wakati Ambapo Kampeni Za Kiti Cha Useneta Katika Kaunti Ya Machakos Zinaelekea Kufika Ukiongoni. Wakiongozwa Na Mbunge Wa Yatta Francis Mwangangi Viongozi Hao Wanasema Agizo Hilo Litawalinda Wakenya Dhidi Ya Virusi Vya Corona Hususan Wakati Ambapo Taifa Linakumbana Na Wimbi La Tatu La Janga La Corona.