WOTE STAD 13TH

  • 4 years ago
Viwanja viwanja viwanja ndio hadithi ya kila siku ambayo kukamilika kwake kutachukua muda zaidi, uga wa wote ulioko kaunti ya Makueni ulifaa kuwa tayari mwisho wa mwaka huu, lakini hili kamwe halitawezekana tena, kwani mwanakandarasi ameomba muda zaidi wa miezi miwili.

Recommended