"Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?

  • 5 years ago
Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?

Katika siku za mwisho Mwenyezi Mungu anafanya kazi yake ya hukumu na kuleta njia ya uzima wa milele, na ni kwa kukubali ukweli uliolezewa na Kristo siku zile za mwisho tunaweza kupata uzima wa milele. Hata hivyo wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wanasema kwamba uzima upo katika Biblia, na ilimradi tu tuzingatie Biblia basi tunaweza pata uzima wa milele. Je, ni Biblia iliyo na uzima wa milele, ama ni Kristo? Wakati wakale ambapo Bwana Yesu alikuwa akifanya kazi Yake, Mafarisayo walikataa kukubali wokovu wa Bwana msingi wao ukiwa kisingizio kuwa uzima wa milele ulikuwa katika Biblia, kwa hivyo Bwana Yesu akawakemea Mafarisayo akisema, "Tafuteni katika maandiko; kwa kuwa ndani yake mnafikiri kuwa mnao uhai wa milele: na nashuhudiwa na hayo. Nanyi hamkuji kwangu, ili mpate uhai" (Yohana 5:39-40). Je, Biblia inaweza wakilisha Mungu akiweka uzima kwetu sisi? Kweli tunaweza kupata uzima wa milele kwa kushikilia Biblia? Katika Video hii tutajadiliana maswali haya pamoja.

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192
WhatsApp: +254-700-427-192

Recommended