DIAMONDPLATNUMZ amtoa MACHOZI HARMONIZE

  • 6 years ago
Msanii harmonize kutoka WCB siku ya jana alifanya show mbagala zakheem kwenye Ukumbi wa DARLIVE na kwa SUPRISE diamondplatnumz alivamia stejini na kumtoa machozi ya furaha HARMONIZE.

Recommended