Faiza Ally amwaga mauno yakutosha mbele ya Bushoke

  • 6 years ago
Msanii wa Filamu Bongo, Faiza Ally ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria show ya Papii Kocha na Babu Seya, uchezaji wake katika show hiyo ilikuwa wa ana yake.