Breaking:Adam Salamba asaini miaka miwili Simba

  • 6 years ago
Simba imemnasa mshambuliaji wa Lipulifc Adam Salamba kwa mkataba wa miaka miwili na dau lausajili likidaiwa ni milioni 40,Simba imewazidi kete Azam na Yanga waliokua wanamuwania.

Recommended