Hymn of Christian Experience (Swahili) “Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu” | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

  • 6 years ago
Hymn of Christian Experience (Swahili) “Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu” | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga mkono wajibu wangu
kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo.
Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini,
nina moyo wa uaminifu.
Nimejitolea kikamilifu katika kila kitu
ili kuyaridhisha mapenzi ya Mungu.
Ninatenda ukweli, namtii Mungu,
na kujaribu kuwa mtu mwaminifu.
Mimi ni wazi na mnyoofu,
bila uongo, nikiishi kwenye mwanga.
Watu waaminifu, kuja haraka, hebu tuongee kwa dhati.
Watu wote wampendao Mungu,
njooni mkusanyike na kuungana kama marafiki wazuri.
Watu wote wenye kupenda ukweli ni ndugu.
Ee watu wenye furaha,
njooni muimbe na kucheza katika sifa kwa Mungu. ...

Kutoka kwa Fuata Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

Recommended