Tiba Ya Covid-19 Itatolewa Bure Katika Hospitali Humu Nchini

  • last year
Wizara Ya Afya Kwa Ushirikiano Na Mashirika Mbalimbali Ya Kupambana Na Ugonjwa Wa Covid-19 Imewashauri Wakenya Kuzidi Kudumisha Usafi Na Kujilinda Kutokana Na Ugonjwa Huo. Haya Yamejiri Wakati Serikali Imesema Imevumbua Dawa Maalum Inayoponya Wagonjwa Mahututi Wa Covid-19 Amabyo Itatolewa Bure Na Wizara. Mkurugenzi Mkuu Katika Wizara Ya Afya Daktari Amoth Amesema Mpango Wa Kujumuisha Afya Bora Uliofanyiwa Majiribi Kaunti Ya Kiambu Utasambazwa Katika Kaunti Zoteine Nchini.