Wizara Maalum Ya Wanaoishi Na Ulemavu Kubuniwa Garissa
  • last year
Gavana Wa Kaunti Ya Garissa Nathif Jama Amewahakikishia Watu Wanaoishi Na Ulemavu Katika Kaunti Hiyo Kuwa Usimamizi Wake Unafanya Kazi Ili Kuunda Wizara Kamili Ili Kushughulikiachangamoto Wanazokumbana Nazo Na Kuhakikisha Kuwa Wanapewa Thamani Ya Kutosha. Akizungumza Jijini Garissa Wakati Wa Maadhimisho Ya Siku Ya Kimataifa Ya Umoja Wa Mataifa Kwa Watu Wenye Ulemavu, Jama Amesema Kuwa Wizara Hiyo Itaongozwa Na Afisa Mkuu Na Wakurugenzi Kutoka Miongoni Mwa Wananchi Ambao Ni Walemavu.