Ndege Kutumika Kufadhili Usambazaji Wa Mitihani Garissa

  • 2 years ago
Baraza La Kitaifa La Mitihani (KNEC) Litatumia Ndege Mbili Za Helikopta Kusambaza Mtihani Wa Kcpe Na Ule Wa Kpsea Kaunti Ya Garissa Kufuatia Uwepo Wa Barabra Mbovu Kutokana Na Mvua Inayoshuhudiwa Nchini. Aidha Changamoto Zinazokumba Kufikishwa Kwa Mtihani Huo Shuleni Kwa Muda Mwafaka Zimeangaziwa Ili Suluhu Ya Haraka Ipatikane Na Kuwapa Wanafunzi Afueni.