Gavana Wa Nandi Aagiza Serikali Tawala Kuwapa Wakulima Kipaumbele

  • last year
Gavana Wa Nandi Stephen Sang Ameitaka Serikali Kuwapa Kipaumbele Wakulima Wa Mahindi Humu Nchini Kabla Ya Kununua Nafaka Hiyo Kutoka Mataifa Ya Nje. Mwenyekiti Huyo Wa Muungano Wakibiashara Kaskazini Mwa Bonde La Ufa Amewahimiza Wabunge Katika Bunge La Kitaifa Kuunda Sheria Zitakazohifadhi Maslahi Ya Waakulima Nchini.

Recommended