Utata Wa Ardhi Ya Witu

  • 2 years ago
Mpango Wa Kutwaa Ardhi Eneo La Witu Kutoka Kwa Wenyeji Kwa Nia Ya Ujenzi Wa Kambi Ya Kijeshi Inazidi Kuzua Mihemko Miongoni Mwa Wakaazi Wanaosema Kuwa Watasalia Bila Makao. Wanaitaka Serikali Kuwapa Sikio Kwani Familia Zinasema Kuwa Hazina Mbele Wala Nyuma.Mpango Wa Kutwaa Ardhi Eneo La Witu Kutoka Kwa Wenyeji Kwa Nia Ya Ujenzi Wa Kambi Ya Kijeshi Inazidi Kuzua Mihemko Miongoni Mwa Wakaazi Wanaosema Kuwa Watasalia Bila Makao. Wanaitaka Serikali Kuwapa Sikio Kwani Familia Zinasema Kuwa Hazina Mbele Wala Nyuma.Mpango Wa Kutwaa Ardhi Eneo La Witu Kutoka Kwa Wenyeji Kwa Nia Ya Ujenzi Wa Kambi Ya Kijeshi Inazidi Kuzua Mihemko Miongoni Mwa Wakaazi Wanaosema Kuwa Watasalia Bila Makao. Wanaitaka Serikali Kuwapa Sikio Kwani Familia Zinasema Kuwa Hazina Mbele Wala Nyuma.