Urembo Jijini Mombasa:Kupambwa Kwa Mizunguko Mombasa

  • 2 years ago
Watalii Wanaoingia Kaunti Ya Mombasa Kupitia Njia Ya Makupa, Sasa Wanaweza Kufurahia Manthari Ya Kipeke Kwa Maana Mizunguko Hiyo Imetiwa Nakshi Kupitia Sanamu Za Wanyama Pori, Lengo Kubwa Likiwa Kuwavutia Watalii Wa Humu Nchini Na Hata Wa Nche.Mizunguko Hiyo Katika Sehemu Mbali Mbali Mjini Mombasa Una Sanamu Ya Ndovu, Sanamu Ya Mkono Uliokamata Rungu Kuashiria Uongozi Dhabiti Wa Rais Mustaafu Mzee Moi.

Recommended