Mama Mmoja Kakamega Ajifungua Mtoto Sikukuu Ya Krismasi

  • 2 years ago
Kulijaa Furaha Na Mbwembwe Katika Hospitali Ya Kakamega Baada Ya Mama Mmoja Kujifungua Mtoto Saa Sita Kamili Ambayo Ni Siku Ya Krismasi.Wagonjwa Wengine Walioko Katika Hospitali Hiyo Pia Walinufaika Na Msaada Wa Sikukuu Na Wahisani Wema.

Recommended