Ruto Ataja Raila Kama Kibaraka Anayetumika Na Wachache

  • 2 years ago
Naibu Rais William Ruto Amefikisha Hamasa Ya Mfumo Wa Uchumi Wa Bottom-Up Katika Kaunti Ya Garissa Pale Amewarai Wakaazi Wa Garissa Kuunga Mkono Chama Cha Uda. Ruto Aliyeandamana Na Baadhi Ya Viongozi Kutoka Kaskazini Mashariki Amemtaja Kinara Wa Odm Raila Odinga Kama Kibaraka Atakayetumika Kunufaisha Wachache.

Recommended