Ugatuzi Watajwa Kama Ambo Utakwamua Uchumi Wa Nchi

  • 2 years ago
Mjadala Kuhusu Miundo Msingi Inayopigiwa Debe Na Mababe Wa Kisiasa Ulisheheni Katika Kongamano La Saba La Ugatuzi. Waziri Wa Ulinzi Eugene Wamalwa Amesema Baadhi Ya Mapendekezo Ya Wanasiasa Hayatakwamua Uchumi Wa Nchi Bali Ugatuzi Ndio Utakaosaidia Nchi Haswa Wakati Huu Nchi Inakabiliana Na Janga La Covid-19.