Richard Onyonka Anajiunga Na ODM Akitokea FORD Kenya

  • 2 years ago
Chama Cha Ford Kenya Kinachoongozwa Na Mwenyeki Wake Moses Masika Wetangula Kimepata Pigo Baada Ya Naibu Mwenyekiti Ambaye Ni Mbunge Wa Kitutu Chache Richard Onyonka Kujiunga Na Chama Cha ODM. Onyonka Amekuwa Nguzo Kuu Katika Ufanisi Wa Chama Cha Ford Kenya.

Recommended