Huenda Kaunti 23 Zikakosa Chalkula Kutokana Na Ukame

  • 3 years ago
Huenda Watu Millioni 2.5 Kutoka Kaunti Ishirini Na Tatu Zinazokumbwa Na Ukame Wakazidi Kutaabika Hadi Mwezi Ujao …Hii Ni Kulingana Na Ripoti Za Hali Ya Anga Zinazoonyesha Kuwa Kutakuwa Na Uhaba Wa Mvua Kufikia Mwezi Wa Disemba. Waziri Wa Huduma Za Umma Margaret Kobia Anasema Kuwa Serikali Tayari Imeweka Mikakati Itakayosaidia Katika Kufikisha Msaada Wa Chakula Kwenye Sehemu Hizo Zitakazoadhiriwa Na Ukame…

Recommended