Wafungwa Watumia Nafasi Za Kukuza Talanta Zao, Gerezani

  • 3 years ago
Wafungwa Katika Gereza Kuu La Thika Na La Wanawake Wanasababu Ya Kufurahi Baada Ya Kushiri Katika Mashindano Ya Urembo Na Kuwapa Nafasi Ya Kuhisi Maisha Nje Ya Gereza. Haya Yanajiri Baada Ya Rais Uhuru Kenyatta Kutangaza Kuondolewa Kwa Kikwazo Kilichowekwa Cha Kuzuia Familia Na Jamaa Kuwatembelea Gerezani Tangu Mwaka Jana Mwezi Machi Punde Janga La Corona Lilipotangazwa.