Mahakama Imetupilia Mbali Rufaa Ya Aliyekuwa Gavana Mike Sonko

  • 3 years ago
Huenda Kaimu Gavana Wa Nairobi Anne Kananu Akaapishwa Kama Gavana Wakati Wowote Kuanzia Sasa Baada Ya Mahakama Kutupilia Mbali Rufaa Ya Aliyekuwa Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Kupinga Kuapishwa Kwa Ann Kananu Kama Gavana Wa Kaunti Ya Nairobi. Kulingana Na Korti, Rufaa Ya Sonko Haikuafikia Vigezo Vinavyohitaji Na Korti.

Recommended