Congo Nets Ndio Mabingwa Wa Mashindano Yaliyoandaliwa

  • 3 years ago
Congo Nets Ndio Mabingwa Wa Mashindano Ya Kikapu Ambayo Yaliandaliwa Katika Uga Wa Makadara Kaunti Ya Mombasa.Mashindano Haya Yaliandaliwa Na Shirikisho La Kikapu Nchini Tawi La Mombasa.