Raila Odinga Amtetea Rais Kenyatta Kuhusu Ufichuzi Wa Pandora

  • 3 years ago
Kinara Wa ODM Raila Odinga Amesema Yeye Hana Mabilioni Kwenye Akaunti Za Ulaya Kama Viongozi Wengine Waliofichuliwa Na Upekuzi Wa Pandora. Akiongea Na Mahojiano Na Baadhi Ya Redio Humu Nchini, Raila Hata Hivyo Alisema Hakuna Sheria Iliyovunjwa Kwa Mtu Kuwa Na Akaunti Nje Ya Kenya. Alisema Muhimu Ni Walio Na Akaunti Hizo Kuelezea Jinsi Walipata Mabilioni Hayo Yaliyoweka Majuu. Ufichuzi Wa Pandora Umezua Hisia Mseto Haswa Baada Ya Familia Ya Rais Uhuru Kenyatta Kuhusiahwa Na Akaunti Kadhaa Zinazoripotiwa Kuwa Na Mabilioni.

Recommended