Ruto Awapiga Vijembe Wapinzani Wake Akisema Hawana Ajenda Ila Mamlaka

  • 3 years ago
Naibu Wa Rais William Ruto Ametetea Mbinu Yake Ya Kubadili Mfumo Wa Kiuchumu Unaolenga Watu Wa Chini Kabla Ya Wanasiasa Akisema Ndio Njia Pekee Ya Kuboresha Wakenya.Ruto Kwenye Hafla Ya Misa Kaunti Ya Kisii Aidha Hakusaza Kuwapiga Vijembe Wapinzani Akisema Hawana Ajenda Yoyote Ila Kuungana Kwa Ajili Ya Kunyakua Uongozi.

Recommended