Kalonzo Musyoka: Serikali Ya Rais Kulaumiwa Kwa Gharama Ya Maisha

  • 3 years ago
Kinara Wa Chama Cha Wiper Kalonzo Musyoka Ananyoshea Serikali Kidole Cha Lawama Kwa Gharama Ya Juu Ya Maisha Kutokana Na Bei Ya Juu Ya Mafuta Na Kawi. Anasema Rais Uhuru Kenyatta Anafaa Kutilia Mkazo Serikali Yake Na Kuhakikisha Ufisadi Umepigwa Marufuku