Maafisa Wawili Wa Polisi Wamejeruhiwa Laikipia

  • 3 years ago
Maafisa Wawili Wa Polisi Wamevamiwa Na Kujeruhiwa Na Wezi Wa Mifugo Eneo La Laikipia.Maafisa Hawa Ambao Makao Yao Makuu Ni Eneo La Tumaini Academy Aneo La Ngarenarok Laikipia Walikuwa Katika Shughli Yao Ya Kawaida Kulinda Doria Waliposhambuliwa