AFC Leopards Wapigwa Jeki Kifedha Waliandaa Mchango Ambao Walipata Shilingi Milioni 8

  • 3 years ago
Ni Afueni Kubwa Wa Kilabu Cha AFC Leopards Baada Ya Kupigwa Jeki Kwa Kima Cha Shilingi Milioni 8 Ambazo Ziliafikiwa Kutokana Na Mchango Ulioandaliwa Alhamisi Jioni.