Familia Ya Daktari James Gakara Yakana Madai Yanayomzunguka

  • 3 years ago
Familia Ya Daktari James Gakara Anayedaiwa Kuwauwa Watoto Wake Wawili Imekana Madai Kuwa Alikorofishana Na Mkewe Kuhusu Azma Ya Mkewe Kuendeleza Masomo Yake.Kulingana Na Dadake Daktari Gakara, Nduguye Alimtaka Mkewe Kuendeleza Masomo Yake Ili Amsaidie Katika Zahanati Yao.

Recommended