Wajumbe Wanatarajiwa Kujadili Ongezeko La Bei Ya Mafuta

  • 3 years ago
Bei Mpya Ya Mafuta Inazidi Kuzua Mihemko Miongoni Mwa Wakenya Wanaozidi Kueleza Lalama Zao. Na Sasa Wajumbe Nchini Wapo Mbioni Kujikwamua Baada Ya Wakenya Wengi Kuwanyoshea Kidole Cha Lawama. Mbunge Wa Dagoretti North Simba Arati Sasa Amemtaka Spika Wa Bunge La Kitaifa Justin Muturi Kuwaruhusu Wajumbe Kujadili Ongezeko La Bei Wa Mafuta. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi………….