Chama Cha Roots Party Of Kenya Chaanza Kampeni Kaunti Ya W.Pokot

  • 3 years ago
Huku Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka 2022 Ukikaribia, Chama Kipya Cha Roots Party Of Kenya Kimeanza Mchakato Wa Kujipigia Debe Na Kutafuta Wafuasi Katika Kaunti Ya West Pokot. Kinara Wa Chama Hicho Profesa George Wajackoya Amesema Kuwa Ajenda Yake Kuu Ni Kupambana Na Ufisadi Nchini Akiahidi Kukabiliani Na Wafisadi Wote Endapo Atachaguliwa Kama Rais.Tazama.

Recommended