Manaibu Gavana 12 Kurithi Wakubwa Wao Kwa Kuwania Ugavana 2022

  • 3 years ago
Kwa Mda Manaibu Gavana Wametajwa Kama Viongozi Wasio Na Ushawishi Wowote Kutokana Na Unyamavu Wao Hali Ambayo Imepelekea Magavana Kunawiri Pakubwa Kisiasa. Lakini Uchaguzi Mkuu Unapowadia, Wengi Wa Manaibu Gavana Watalazimika Kuondoka Mamlakani Bila Kupata Sura Yeyote Ya Kitaifa Baada Ya Kufinyiliwa Na Wakubwa Wao Ambao Vilevile Wametamatisha Mihula Yao Miwili Ya Miaka Kumi.Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti, Manaibu Gavana Wasiozidi 12 Pekee Ndio Wamejitokeza Wazi Wazi Kuwarithi Magavana Wao Kwani Katiba Haiwaruhusu Kuwania Tena Kama Wagombea Wenza.

Recommended