Tume Ya SRC Yalaumiwa Kufeli Kutia Mkataba Na Wafanyakazi

  • 3 years ago
Kamati Ya Leba Katika Bunge La Kitaifa Imetoa Makataa Ya Wiki Moja Kwa Tume Ya Kuratibu Msharaha Nchini Src Kufika Mbele Yake Kuelezea Kwa Nini Haikutia Sahihi Makubaliano Ya Mshahara Cba Kwa Wafanyikazi Wa Bandari Ya Mombasa Kpa.

Recommended