Bunge La Kitaifa Limepitisha Makamishna Wanne Walioteuliwa Na Rais

  • 3 years ago
Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Iebc Sasa Iko Na Makamishna Wakutosha, Hii Ni Baada Ya Bunge La Kitaifa Kupitisha Makamishna Wanne Walioteuliwa Na Rais Uhuru Kenyatta Mwezi Wa Agosti. Makamishna Hao Sasa Wanatarajiwa Kujiunga Na Wenzao Huku Wakitarajiwa Kuchangia Maandalizi Ya Uchaguzi Wa 2022. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi……..