Polisi Yadai Ipo Mbioni Kuwakamata Wanaotakasa Pesa

  • 3 years ago
Inspekta Generali Hillary Mutyambai Ameshikilia Kuwa Washukiwa Kadhaa Wanaojihusisha Na Biashara Haramu Ya Utakasaji Pesa Wamekamatwa Na Kufikishwa Mahakamani. Hata Hivyo Wakenya Wengi Wanadai Kuwa Idara Ya Polisi Imeshtukia Tu Ongezeko La Biashara Hiyo Haramu Baada Ya Taarifa Kuibuka Mitandaoni Kuwa Kuna Baadhi Ya Wakenya Wanaofanya Biashara Hiyo. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi…………

Recommended