Wakaazi Malindi Wakusanyika Kuadhimisha Tamasha Ya Kila Mwaka

  • 3 years ago
Wakaazi Wa Malindi Katika Kaunti Ya Kilifi Walikusanyika Kuadhimisha Tamasha Ya Kila Mwaka Ya Kumsherehekea Mekatilili Wa Menza. Na Kutokana Na Uwepo Wa Janga La Corona Idadi Ya Waliohudhuria Ilikuwa Chache Kwa Kuzingatia Kanuni Za Wizara Ya Afya Dhidi Ya Corona.

Recommended