Muungano Wa OKA Haujaiweka Bayana Kiongozi Wao Kabla 2022

  • 3 years ago
Huenda Malumbano Yakashuhudiwa Katika Muungano Wa One Kenya Alliance Baada Ya Viongozi Wa Anc Musalia Mudavadi Na Wa Wiper Kalonzo Musyoka Kupigia Debe Azma Yao Ya Kumrithi Rais Uhuru Kenyatta. Muungano Huo Hadi Kufikia Sasa Haujazindua Ni Kiongozi Yupi Watamuunga Kuwania Kiti Cha Urais Mwaka 2022. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi.....

Recommended