Watumishi Wa Umma Watakiwa Kuchukua Chanjo Kufikia Agosti 23

  • 3 years ago
Watumishi Wa Umma Ambao Hawajachanjwa Dhidi Ya Covid-19 Wana Wiki Mbili Za Kuchukua Chanjo Hiyo La Sivyo, Hatua Za Kinidhamu Zitachukuliwa Dhidi Yao. Kulingana Na Mkuu Wa Utumishi Wa Umma Joseph Kinyua, Idadi Ya Waliopata Chanjo Miongoni Mwa Watumishi Wa Umma Haswa Katika Sekta Ya Usalama Na Ile Ya Walimu Ipo Chini Zaidi Licha Ya Chanjo Hiyo Kupatikana Nchini.

Recommended