Malkia Strikers Watamenyana Na Serbia Alhamisi Alfajiri

  • 3 years ago
Baada Ya Kupoteza Mechi Mbili Mfululizo Dhidi Ya Japan Na Korea Kusini Mtawaliwa, Timu Ya Taifa Ya Voliboli Maarufu Kama Malkia Strikers Itarejea Uwanjani Alhamisi Alfajiri Kuvaana Na Serbia.Katika Mechi Yao Ya Nne Kwenye Kundi B, Kikosi Hicho Chini Ya Kocha Paul Bitok Kitapepetana Na Jamhuri Ya Dominic Jumamosi, Kabla Ya Kumaliza Mechi Za Kundi Hilo Jumatatu Itakapokabiliana Na Brazil.

Recommended