Matokeo Yaonyesha Kangogo Aliuawa Na Risasi

  • 3 years ago
Mwanapatholojia Mkuu Wa Serikali Johansen Oduor Amethibitisha Kuwa Afisa Wa Polisi Aliyefariki, Marehemu Caroline Kangogo Alikufa Kwa Risasi Iliyopitia Uti Wa Mgongo Wake Hadi Kichwani Mwake. Hata Hivyo, Oduor Amesema Namna Alivyokufa Bado Haijulikani Kwa Uwazi Na Itatambulika Baada Ya Uchunguzi Wa Maabara .