Ongare Abanduliwa Nje Ya Michezo Ya Olimpiki Tokyo Na Magno Irish
  • 3 years ago
Mchezaji Wa Timu Ya Taifa Ya Hit Squad Christine Ongare Amebanduliwa Nje Ya Michezo Ya Olimpiki Ya Tokyo Na Magno Irish Wa Ufilipino Katika Pigano La Fly.Ongare Ni Mchezaji Wa Pili Katika Kikosi Hicho Cha Hit Squad Kubanduliwa Baada Ya Nick Okoth Kucharazwa Jana Na Erdenebat Tsendbaatar Wa Mongolia Katika Pigano La Uzito Wa Unyoya
Recommended