Makataa Ya Kanuni Mpya Za Covid-19 Kufikia Ukingoni
  • 3 years ago
Huku Zikiwa Zimesalia Siku 6 Kabla Ya Kaunti 13 Kutoka Ukanda Wa Nyanza Na Magharibi Kujua Iwapo Serikali Italegeza Baadhi Ya Masharti Yaliyowekwa Ili Kuzuia Msambao Wa Corona Baadhi Ya Viongozi Wa Makanisa Wameiomba Serikali Kuruhusu Waumuni Kuabudu.
Recommended