VUTA NIKUVUTE KIAMBAA: Mgombea Wa U.D.A Alalama Kutumika Kwa Machifu

  • 3 years ago
Wakati Huo Huo, Mgombea Wa Chama Cha Uda Joseph Wanjiku Amelalama Kuhusu Kutumika Kwa Asasi Za Serikali Kama Vile Machifu Katika Zoezi Hilo. Kambi Ya U.D.A Ambayo Inahusishwa Na Naibu Rais William Ruto Pia Wamedai Kuwa Kunao Wahuni Waliotoka Miji Mengine Waliotumika Kuwanyanyasa Wapiga Kura

Recommended