Usambazaji Wa Maji Kusitishwa Nairobi
  • 3 years ago
Shirika La Maji Jijini Nairobi Limetangaza Kuwa Baadhi Ya Maeneo Jijini Yatashuhudia Uhaba Wa Maji Kuanzia Hapo Kesho. Katika Taarifa, Shirika Hilo Limesema Kuwa Maeneo Kama Vile Uwanja Wa Ndege Wa Jomo Kenyatta Pamoja Na Chuo Kikuu Cha Nairobi Zitaathirika Zaidi, Kwani Usambazaji Wa Maji Utasitishwa Kufuatia Kutengenezwa Ka Barabara Ya Kuu Ya Nairobi.
Recommended