Afrika Mashariki: Hatua Mpya Zachukuliwa Kutatua Migogoro

  • 3 years ago
Jitihada Za Kumaliza Migogoro Ya Kibiashara Baina Ya Kenya Na Tanzania Zimeanza Kuzaa Matunda Baada Ya Nchi Hizo Kukubaliana Kuondoleana Vikwazo Katika Bidhaa Zinazopita Mpakani. Katika Mkutano Uliofanyika Arusha Mawaziri Katika Sekta Za Viwanda Na Biashara Kutoka Kenya Na Tanzania Na Kukubaliana Kutoa Vikwazo Katika Bidhaa Kama Vile Simiti, Sharubati Na Unga Wa Ngano.

Recommended