Familia 170 Zilizoathirika Na Ghasia Za Uchaguzi Kuhamishwa Miaka 13 Baadaye.

  • 3 years ago
Huenda Zaidi Ya Familia 170 Zilizoathirika Na Ghasia Za Baada Ya Uchaguzi Wa Mwaka 2007/2008 Zilizofidiwa Shamba Lenye Ekari 523 Kaunti Ya Nyandarua Wakapoteza Shamba Hilo. Hii Ni Baada Ya Kampuni Moja Kudai Shamba Hilo Na Kufika Mahakamani Kutaka Amri Ya Kuwahamisha Kutoka Shamba Hilo.Familia Hizo Zinadai Zilipata Shamba Hilo Kutoka Kwa Serikali Kama Fidia.