Magoha Agadhabishwa Na Idadi Ndogo Ya Polisi Wanaolinda Mtihani

  • 3 years ago
Huku Mtihani Wa Kitaifa Wa Kcpe Ukiingia Siku Yake Ya Pili Hii Leo, Waziri Wa Elimu George Magoha Ameongoza Shughuli Ya Kusambaza Mitihani Katika Kaunti Ya Machakos, Ambapo Aliwahakikishia Wakenya Kuwa Kila Kitu Ki Shwari. Hata Hivyo Alionyesha Kugadhabishwa Na Hatua Ya Idara Ya Polisi Kutowatuma Maafisa Wawili Wawili Katika Kila Kituo Cha Mtihani Jinsi Ilivyopangwa.

Recommended