Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu"

  • 6 years ago
Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu" | God Is My Salvation

Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu, pia kupitia kukufanya mkamilifu.

Unapokuwa na ushuhuda mkubwa sana,
hii pia itakuwa ishara ya kushindwa kwa Shetani.
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote.
Ili Shetani aweze kushindwa,
mwanadamu kwanza anashindwa, kisha anakamilishwa.

Lakini kiini, huku akimshinda Shetani, Mungu anamwokoa mwanadamu toka mateso.
Haijalishi kama hii kazi inafanyika Uchina au kote ulimwenguni,
yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani na kumwokoa mwanadamu,
aweze kuingia katika mapumziko.
yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani kuokoa wanadamu wote.
Kupata mwili kwa Mungu katika mwili wa kawaida ni hasa kwa ajili ya kumshinda Shetani.
Kazi ya Mungu huyu wa mwili ni kuwaokoa wanaompenda Mungu chini ya mbingu.
Ni kwa sababu ya kuwashinda binadamu wote, na pia ni kwa sababu ya kumshinda Shetani.

Kiini cha kazi yote ya Mungu ni
kumshinda Shetani kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu.
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote.
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote,
kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote.
kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCkUDnudSY6_KR123N2Yr7mw
Kanisa la Mwenyezi Mungu Facebook: https://www.facebook.com/kingdomsalvationsw/
Kanisa la Mwenyezi Mungu Twitter: https://twitter.com/CAGchurchsw
Kanisa la Mwenyezi Mungu Instagram: https://www.instagram.com/thechurchofalmightygodsw/

Recommended