HABARI MPYA KUHUSU MO DEWJI: HONGERA JESHI LA POLISI

  • 6 years ago
Mwendelezo wa taarifa kuhusu kutafutwa kwa Mohammed Dewji ambaye ametekwa na watu wasiojulikana tarehe 11 ya mwezi wa 10, 2018. Bado msako wa kumtafuta na kuwaweka mbaroni wahusika wote unaendelea. Bado jeshi la polisi linaendelea kupambana kuhakikisha Mo anapatikana akiwa salama. MUNGU IBARIKI TANZANIA