EXCLUSIVE : Dada wa MUNA Amwaga Mboga, Kweli Ana Mtoto !!!

  • 6 years ago
#MUNALOVE #DADAWAMUNA

EXCLUSIVE : Dada wa MUNA Amwaga Mboga, Kweli ana Mtoto !!!

KUFUATIA Sakata la Muigizaji Maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, kudaiwa kumtelekeza mtoto wake wa kwanza anayeitwa Brian, Global TV imemtafuta Dada wa Muna anayeitwa Eva Nungu na amezungumzia ukweli wote kuhusiana na ishu hiyo.

Eva amesema mtoto huyo alizaliwa mwaka 2005 katika hospitali ya Palestina iliyoko Sinza na baba wa mtoto huyo anatambulika kwa jina la Fredy.

Aidha Eva amemtaka mdogo wake aache maisha ya kuigiza na kwa sababu ameamua kuokoka basi aanike ukweli wote kuhusiana na mtoto wake huyo ili akiwa anafanya maombi yawe ya kweli.

iOS: Subscribe FACEBOOK: ... TWITTER: Visit ,

Suazi1 WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER:

Recommended