Makambo Afichwa Rwanda |Manara Auliza "Kwani sisi na wao lini?".

  • 6 years ago
Mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo alishindwa kufurukuta mbele ya beki za Rayon Sports katika mchezo wa kombe la shirikisho huku yanga ikipoteza mchezo 1-0dhidi ya wenyeji wao katika uwanja wa Nyamirambo jijini Kigari Rwanda, huku Haji Manara kama kawaida akiwacheka watani zake hao kwa kipigo walichopata.



#MakamboAfichwaRwanda,

Recommended